
Kozi hili inakupa ujuzi wa kuandaa mitihani bora, kusimamia tathmini darasani, na kuchambua matokeo ya wanafunzi. Utajifunza jinsi ya kutumia takwimu kuboresha ufundishaji na kusaidia maendeleo ya kitaaluma ya kila mwanachuo.
- Instructor: Admin User
- Instructor: Gaudence Vincent













